Pata taarifa kuu

Afganistani: "Mkataba wa kusitisha machafuko umeheshimiwa", amesema Pompeo

Matangazo ya kibiashara

Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema Jumanne wiki hii kwamba mkataba wa kusitisha machafuko ulioanza kutekelezwa yangu Jumamosi kati ya Marekani, vikosi vya Afghanistan na Taliban "umeshimiwa," akisema ana imani kuwa makubaliano yatasainiwa na wanamgambo hao wa Kiislamu.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.