Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazungumzo ya amani Burundi mjini Arusha, DRC yajitetea kuhusu uchaguzi, Trump awalaumu wanahabari

Sauti 21:02
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, akitoa heshima za mwisho kwa rais wa zamani wa nchi hiyo Kanali Jean-Baptiste Bagaza, jijini Bujumbura, mei 16 2016.
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, akitoa heshima za mwisho kwa rais wa zamani wa nchi hiyo Kanali Jean-Baptiste Bagaza, jijini Bujumbura, mei 16 2016. REUTERS/Evrard Ngendakumana

Makala hii imeangazia mazungumzo ya amani ya Burundi kujaribu kuleta pande pinzani katika meza ya mazungumzo ya moja kwa moja, mjini Arusha nchini Tanzania, chini ya mwezeshaji wa usuluhishi, rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa, lakini pia kauli ya serikali ya DRC kusema kwamba haina pesa kuandaa uchaguzi mkuu kuzua hisia tofauti katika ulingo wa kimataifa, na siasa za ukanda huu wa Afrika mashariki,pia Marekani. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.