Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Polisi nchini Ufaransa waimarisha ulinzi kuelekea uchaguzi mkuu aprili 23

Sauti 21:05
Eneo la Champs Elysee baada ya tukio la mauaji ya kigaidi jijini Paris Aprili 21, 2017
Eneo la Champs Elysee baada ya tukio la mauaji ya kigaidi jijini Paris Aprili 21, 2017 REUTERS/Charles Platiau

Makala ya mtazamo wako kwa juma hili imeangazia tukio la shambulizi la kigaidi kwenye eneo la champs elysee jijini Paris nchini Ufaransa ambapo mtu mmoja aliwafyeturia risasi polisi na kumuua mmoja kabla ya kuuawa kwake katika majibizano makali ya risasi, tukio ambalo limekuja wakati wananchi wanajiandaa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu siku ya jumapili ya aprili 23 mwaka huu wa 2017, tumegusia pia matukio kutoka mataifa mengine kama DRC, Uganda na kwingineko duniani.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.