Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Upinzani nchini Kenya NASA wamtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wake,

Sauti 21:02
Raila Odinga (kulia) mgombea wa urais kwa tiketi ya NASA na Uhuru Kenyatta(kushoto) akiwakilisha Jubilee kwenye uchaguzi wa August 2017.
Raila Odinga (kulia) mgombea wa urais kwa tiketi ya NASA na Uhuru Kenyatta(kushoto) akiwakilisha Jubilee kwenye uchaguzi wa August 2017. DR.

Katika makala hii tunaangazia uteuzi wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga kama mgombea wa urais katika uchaguzi unaopangwa kufanyika nchini Kenya mwezi agosti mwaka huu, kusainiwa kwa makubaliano maalum kule DRC, kuendelea kwa kampeni ya uchaguzi nchini Ufaransa, lakini pia hukumu ya miaka kumi kutolewa dhidi ya mwanahabari wa Rfi Haussa Ahmed Abba.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.