Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kujiuzulu kwa kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya, Kituo cha utamaduni wa ufaransa chazinduliwa Goma DRC

Sauti 21:15
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, Wafula Chebukati, akiwatahadharisha wanasiasa wakati wa mkutano wa wanahabari jijini Nairobi, Oktoba 18 2017.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, Wafula Chebukati, akiwatahadharisha wanasiasa wakati wa mkutano wa wanahabari jijini Nairobi, Oktoba 18 2017. REUTERS/Thomas Mukoya

Makala ya mtazamo wako juma hili imeangazia kujiuzulu kwa mmoja wa makamishna wa tume ya uchaguzi nchini Kenya, Roselyne Akombe; mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu nchini Congo Brazzaville, hali ya kisiasa nchini DRC lakini pia usalama wa Somalia kuendelea kuzorota, wakati kimataifa masha mbulizi ya hivi karibuni nchini Afghanistan.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi. 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.