Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam

Sauti 14:07
Wapenzi wa Muziki wa Bongo Fleva wakishangilia moja miongoni mwa Tamasha la Fiesta 2017
Wapenzi wa Muziki wa Bongo Fleva wakishangilia moja miongoni mwa Tamasha la Fiesta 2017 msafimedia.com

Novemba 25 ilikuwa kilele cha tamasha la Fiesta 2017, baada ya kufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hatimae ilikuw ani zamu ya Dar es salaam. Msimu huu ni wanamuziki pekee kutoka nchini Tanzania ndio walioshiirki ili kutoa burudani isioweza kusahaulika. Ambatana na Makala haya Ali Bilali anakujuza kwa muhtasar namna ilivyokuwa. usikosi mpia kumfollow kwa instagram.com/billy_bilali/

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.