Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kwanini wafuasi wa upinzani nchini DRC hawakujitokeza kuandamana wiki hii ?

Sauti 09:22
Gari la jeshi la Polisi jijini Kinshasa nchini DRC kuwazuia waandamanaji hivi karibuni
Gari la jeshi la Polisi jijini Kinshasa nchini DRC kuwazuia waandamanaji hivi karibuni Junior D. KANNAH/AFP

Wiki hii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wafuasi wa upinzani hawakujitokeza kuandamana kama ilivyokuwa siku za nyuma kushinikiza kujiuzulu kwa rais Joseph Kabila kufikia mwisho wa mwaka huu, licha ya wito kutoka kwa viongozi wao. Je, unafikiri ni kwanini watu hawakujitokeza ? Upinzani unakosa ushawishi kwa wafuasi wake ?

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.