Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Matukio makubwa ya kisiasa mwaka 2017

Sauti 10:26
Kinara wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga (Kushoto) na rais Uhuru Kenyatta(Kulia)
Kinara wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga (Kushoto) na rais Uhuru Kenyatta(Kulia) DR.

Mwaka 2017, ulikuwa na mwaka wa kisiasa hasa barani Afrika. Uchaguzi tata nchini Kenya, siasa za Uchaguzi nchini DRC, Gambia kumpata rais mpya, Robert Mugabe kujiuzulu baada ya kuongoza Zimbabwe tangu 1980 na wabunge nchini Uganda kubadilisha Katiba. Tunakukumbusha mambo yalivyokuwa.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.