Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

George Weah atoa ahadi ya kupambana na rushwa na ukosefu wa ajira

Sauti 09:49
George Weah baada ya kuapishwa kuwa rais wa Liberia Januari 22, 2018.
George Weah baada ya kuapishwa kuwa rais wa Liberia Januari 22, 2018. REUTERS/Thierry Gouegnon

Rais mpya wa Liberia, George Weah ameahidi kupambana na tatizo la rushwa na ukosefu wa ajira.Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ambao wametoa maoni yao kuhusu hotoba ya kiongozi huyo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.