Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Matokeo ya kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba ya Burundi na mustakabali wa taifa hilo

Sauti 14:36
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza akishiriki zoezi la upigaji kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba Mei 17 2018
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza akishiriki zoezi la upigaji kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba Mei 17 2018 Reuters

Mjadala wa wiki leo jumatatu ya may 23 tumeangazia kuhusu mustakabali wa taifa la Burundi baada ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba, ambayo tume huru ya uchaguzi nchini humo CENI inasema kura ya ndio imeshinda kwa zaidi ya asilimia 70 wakati kura ya hapana ikipata asilimia 19.Kudadavua haya nitakuwa nao Nzeyimana Abdul ambae ni mjumbe wa upinzani unaishi uhamishoni wa CENARED pia Innocent Banno ni mwanasiasa wa upande wa serikali. Upinzani umetupilia mbali matokeo hayo na kuomba kufutwa kwa matokeo na uchaguzi ufanyike upya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.