Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kauli ya Robert Mugabe inaweza kuathiri uchaguzi mkuu wa Zimbabwe?

Sauti 10:05
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe akizungumza na waandishi wa habari Jijini Harare 29 Julai 2018, ambapo aliapa kutowa[igia kura wagombea wa Chama tawala Zanu PF
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe akizungumza na waandishi wa habari Jijini Harare 29 Julai 2018, ambapo aliapa kutowa[igia kura wagombea wa Chama tawala Zanu PF REUTERS/Siphiwe Sibeko

Wakati wananchi wa Zimbabwe leo wakimiminika kwenye vituo vya kupigia kura kuchagua raia na wabunge,Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe awali ametoa matamshi ya kutopigia kura wagombea wa chama tawala Zanu PF. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao ikiwa kauli ya Mugabe inaweza kuathiri matokeo ya uchaguzi wa taifa hilo la kusini mwa Afrika.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.