Pata taarifa kuu
MISRI-UFARANSA-USHIRIKIANO

Emmanuel Macron apokelewa na rais wa Misri Abdel Fattah al-Sissi

Emmanuel na Brigitte Macron wakipokea na Abdel Fattah-Sissi na Intissar Amer, mke wake rais wa Misri, katika ikulu ya Cairo, Januari 28, 2019
Emmanuel na Brigitte Macron wakipokea na Abdel Fattah-Sissi na Intissar Amer, mke wake rais wa Misri, katika ikulu ya Cairo, Januari 28, 2019 Ludovic MARIN / AFP

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anaendelea na ziara yake nchini Misri. uchumi na biashara ni miongoni mwa masuala muhimu yaliyopewa kipaumbele katika mazungumzo kati ya Abdel Fattah al-Sissi na rais wa Ufaransa.

Matangazo ya kibiashara

Emmanuel Macron amepokelewa katika ikulu ya Cairo, Jumatatu hii Januari 28.

Ujumbe wa Ufaransa unaundwa na matajiri zaidi ya hamsini na mikataba thelathini inatarajiwa kuwekwa saini kwa "mamilioni ya fedha," kulingana na ofisi ya rais wa Ufaransa.

Emmanuel Macron pia aameahidi kuzungumzia "wazi zaidi"kuhusu suala la haki za binadamu.

Mizinga ishirini na moja ilifyatuliwa baada ya Emmanuel Macron katikao ofisi ya raiskwa mujibu wa mwandishi wetu. Cairo, Valérie Gas.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.