Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya rais wa ufaransa Emmanuel Macron barani afrika, ajali ya ndege yaua abiria 157 Ethiopia, na shambulio la New Zealand

Sauti 20:45
Baadhi ya mabaki ya ndege ya shirika la Ethiopian Airlines aina ya Boeing 737 Max, baada ya ajali kijijini Hama Quntushele Jimbo la Oromia, Marchi 13 2019.
Baadhi ya mabaki ya ndege ya shirika la Ethiopian Airlines aina ya Boeing 737 Max, baada ya ajali kijijini Hama Quntushele Jimbo la Oromia, Marchi 13 2019. Photo: Tony Karumba/AFP

Makala ya juma imeangazia ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, katika baadhi ya nmataifa ya Afrika, ambapo juma hili ametembelea Djibouti, kabla ya kuihitimishia ziara yake nchini Kenya ambako ameshiriki mkutano wa wawekezaji wa kimataifa, pia maboresho ya tabia nchi maarufu: one planet pia tumeangazia ripoti ya umoja wa mataifa kuhusu mauaji ya yumbi magharibi mwa DRC, lakini pia shambulizi la kigaidi lililouwa watu 49 huko New Zealand

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.