Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya rais wa Uganda Yoweri Museveni nchini Kenya, Rais wa DRC Felix Tshisekedi akutana na Paul Kagame wa Rwanda

Sauti 20:01
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ©Gaël Grilhot/RFI

Katika makala hii tumeangazia ziara ya rais wa Uganda Yoweri K. Museveni nchini Kenya, pia mkutano wa kimataifa wa kibiashara, CEO Forum nchini Rwanda, ambapo kando na mkutano huo rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi alikutana na mwenyeji wake Paul Kagame, siasa za Burundi, kimataifa mvutano kati ya bunge la Uingereza na waziri mkuu kuhusu Uingereza kujitoa umoja wa ulaya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.