Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mwanamke wa kwanza achaguliwa kuongoza bunge DRC, Marekani yatahadharisha Uganda, kiongozi wa Korea kaskazini kukutana na rais wa Urusi

Sauti 20:07
Bango la Bi. Jeanine Mabunda wakati wa kampeni yake akiwania uspika wa Bunge la DRC.
Bango la Bi. Jeanine Mabunda wakati wa kampeni yake akiwania uspika wa Bunge la DRC. Jeanine Mabunda

Juma hili tumeangazia DRC ambako madaktari na wauguzi wa mji wa Butembo waliandamana kulalamikia ongezeko la visa vya utovu wa usalama na hivyo kuathiri matibabu dhidi ya ugonjwa wa hatari wa ebola, pia kuchaguliwa kwa Jeanine Mabunda kuwa spika nchini humo, viongozi wa Burundi wapinga ongezeko la makanisa, na kimataifa mkutano kati ya kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un na rais wa Urusi Vladmir Putin.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.