Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Umoja wa afrika wasimamisha uanachama nchi ya Sudan, waasi wa ADF wauawa mashariki mwa DRC, rais wa Marekani Donald Trump ziara Uingereza

Sauti 20:00
Hali ya wasi wasi inayoshuhudiwa mjini Khartoum, Omdurman, siku ya kwanza ya kampeni ya kutotii sheria Soudan, juni 09 2019.
Hali ya wasi wasi inayoshuhudiwa mjini Khartoum, Omdurman, siku ya kwanza ya kampeni ya kutotii sheria Soudan, juni 09 2019. AFP

Ni juma ambalo limeshuhudia hatua ya umoja wa Afrika kutangaza kusimamisha uanachama nchi ya Sudan na kutaka kuwekwa kwa utawala wa kiraia ili kumaliza mzozo wa kisiasa unaoendelea nchini humo, na huko DRC waasi 23 wa ADF wameuawa maeneo ya Beni mashariki mwa nchi hiyo, kimataifa ziara ya rais wa Marekani Donald Trump nchini Uingereza.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.