Pata taarifa kuu
UNAIDS-AFYA

UNAIDS: Maambukizi ya virusi vya Ukimwi yaongezeka katika nchi 50 Duniani

Vita dhidi ya maabukizi ya virusi vya Ukimwi vinaendelea duniani.
Vita dhidi ya maabukizi ya virusi vya Ukimwi vinaendelea duniani. © Reuters /Erik

Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na maambukizi ya virusi vya Ukimwi, inaeleza kuwa, maambukizi ya ugonjwa huo yanaongezeka katika mataifa 50 duniani.

Matangazo ya kibiashara

Aidha, ripoti hiyo inaeleza kuwa, watu wapya wanaombukizwa virusi hivyo, hawapati dawa za kuwasaidia kuishi muda mrefu.

Hata hivyo, imebainika kuwa mataufa ya Afrika Mashariki na yale ya Kusinii, maambukizi yanapungua lakini Afrika Magharibi na Kati yanaonegezeka .

Watu Milioni 37 wanaishi na virusi vya Ukimwi duniani, huku bara la Afrika likiwa na maambukizi mengi.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.