Pata taarifa kuu
Soka Barani Afrika-Can 2015

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika yatazamiwa kuanza

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika 2015
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika 2015 RFI-KISWAHILI

Wakati zikisalia saa chache ili michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika ianze nchini Equatorial Guinea, ambayo ni mwenyeji wa michuano hiyo, timu 16 zitakazoshiriki michuano hiyo, zimeanza kujipanga na kujiandalia michuano hiyo.

Matangazo ya kibiashara

Timu hizo ni kutoka mataifa 16 ambayo ni:

Equatorial Guinea Zambia Ghana Cote d'Ivoire
Congo DRC Senegal Guinea
Burkina Faso Tunisia Algeria Mali
Gabon Cape-Verde Afrika Kusini Cameroon

Kila timu na kile ilichokifanya na hatua iliyofikia katika michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika tangua ilipoanza katika miaka ya 1962.

Nchi Sifa au Kufuzu Kushiriki Matokeo bora
Cape-Verde 5,6,7,8,9 Ya kwanza katika kundi F Mara 1 katika mwaka wa (2013) Robo fainali mwaka 2013
Algeria Ya kwanza katika kundi B Mara 15, katika miaka (1968, 1980, 1982, 1984, 1986, 1988, 1990, 1992, 1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2010, 2013) Mshindi mwaka 1990
Equatorial Gunea Mwenyeji Mara 1 katika mwaka wa (2012) Robo fainali mwaka 2012
Tunisia Ya kwanza katika kundi G Mara 16 katika miaka ya (1962, 1963, 1965, 1978, 1982, 1994, 1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2006, 2008, 2010, 2012, 2013) Mshindi mwaka 2004
Afrika Kusini Ya kwanza katika kundi A Mara 8 katika miaka ya (1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2006, 2008, 2013) Mshindi mwaka 1996
Burkina Faso Ya pili katika kundi C Mara 9 katika miaka ya (1978, 1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2010, 2012, 2013) Iliondolewa katika fainali mwaka 2013
Gabon Ya kwanza katika kundi C Mara 5 katika miaka ya (1994, 1996, 2000, 2010, 2012) Robo fainali katika miaka ya 1996, 2012
Cameroon Ya kwanza katika kundi D Mara 16 katika miaka ya (1970, 1972, 1982, 1984, 1986, 1988, 1990, 1992, 1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2006, 2008, 2010) Mshindi mara (4) miaka ya 1984, 1988, 2000, 2002
Zambia Ya pili katika kundi F Mara 16 katika miaka ya (1974, 1978, 1982, 1986, 1990, 1992, 1994, 1996, 1998, 2000, 2002, 2006, 2008, 2010, 2012, 2013) Mshindi mwaka 2012
Senegal Ya pili katika kundi G Mara 12 katika miaka ya (1965, 1968, 1986, 1990, 1992, 1994, 2000, 2002, 2004, 2006, 2008, 2012) Iliondolewa katika fainali mwaka 2002
Cote d'Ivoire Ya pili katika kundi D Mara 20 katika maika ya (1965, 1968, 1970, 1974, 1980, 1984, 1986, 1988, 1990, 1992, 1994, 1996, 1998, 2000, 2002, 2006, 2008, 2010, 2012, 2013) Mshindi mwaka 1992
Ghana Ya kwanza katika kundi E Mara 19 maiak ya (1963, 1965, 1968, 1970, 1978, 1980, 1982, 1984, 1992, 1994, 1996, 1998, 2000, 2002, 2006, 2008, 2010, 2012, 2013) Mshindi mara (4)
1963, 1965, 1978, 1982
Guinea Ya pili katika kundi E Mara 10 kataka ya (1970, 1974, 1976, 1980, 1994, 1998, 2004, 2006, 2008, 2012) Iliondolewa katika fainali mwaka 1976
Congo Ya pili katika kundi A Mara 6 katika maika ya (1968, 1972, 1974, 1978, 1992, 2000) Mshindi mwaka 1972
Mali Ya pili katika kundi B Mara 8 katika miaka ya (1972, 1994, 2002, 2004, 2008, 2010, 2012, 2013) Iliondolewa katika fainali mwaka 1972
DRC Ya tatu bora Mara 16 katika maiak ya (1965, 1968, 1970, 1972, 1974, 1976, 1988, 1992, 1994, 1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2006, 2013) Mshindi katika miaka ya 1968, 1974

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika imepangwa kuanza Januari 18 hadi Februari 7 mwaka 2015, na itachezwa katika viwanja mbalimbali nchini Equatorial Guinea.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.