Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)

Sauti 09:19
Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya, ambapo alizaliwa baba yake rais wa Marekani, Barack Obama. Bibi kizee huyo (kwenye picha) ni mama mzazi wa baba yake rais wa Marekani, Barack Obama.
Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya, ambapo alizaliwa baba yake rais wa Marekani, Barack Obama. Bibi kizee huyo (kwenye picha) ni mama mzazi wa baba yake rais wa Marekani, Barack Obama. RFI / Julian Rubavu

Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha  Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama, rais wa Marekani. Utamsikia bibi Sarah Onyango Obama, mama mzazi wa baba wa rais wa Marekani Barack Obama, anazungumziaje kuhusu chimbuko la kiongozi huyo wa Marekani.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.