Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Wabunge nchini wabadilisha Katiba

Sauti 10:06
Bunge nchini Uganda wakati wa mswada wa kubadilisha Katiba
Bunge nchini Uganda wakati wa mswada wa kubadilisha Katiba REUTERS/James Akena

Wabunge nchini Uganda, wamebadilisha Katiba ya nchi hiyo kwa kuondoa kikomo cha mtu anayetaka kuwania urais nchini humo kutoka miaka 75. Hii inampa nafasi rais Yoweri Museveni kuwania tena urais mwaka 2021, akiwa na miaka 76. Upinzani umesema utakwenda Mahakamani kupinga mabadiliko hayo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.