Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kenya yaendelea kushuhudia mzozo wa kisiasa

Sauti 09:35
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (Kushoto), kiongozi wa upinzani NASA Raila Odinga (Kulia)
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (Kushoto), kiongozi wa upinzani NASA Raila Odinga (Kulia) TONY KARUMBA, SIMON MAINA / AFP

Kenya imeendelea kushuhudia mzozo wa kisiasa, baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka uliopita. Kiongozi wa upinzani NASA Raila Odinga, amekataa kumtambua rais Uhuru Kenyatta na amesema ataapishwa kama rais wa watu tarehe 30 mwezi Januari mwaka huu. Je, kuna nafasi ya mazungumzo katika mzozo huu.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.