Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Cocodo; Vijana tujitume zaidi kwenye Muziki

Sauti 20:03
Cocodo African Music Band wakifanya Onyesho kwenye Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar
Cocodo African Music Band wakifanya Onyesho kwenye Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Cocodo Band

Hii ni Sehemu ya Pili ya Makala haya tukiangazia Muziki na Cocodo African Music Band wakifanya sanaa ya Muziki kutoka nchini TanzaniaUngana na Steven Mumbi akizungumza na wasanii Remi na Nelius wakizungumzia safari yao ya kimuziki kwa zaidi ya miaka nane sasa

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.