Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

S.Kide;Muziki wa Singeli Utafika mbali kama wawekezaji watajitokeza

Sauti 20:01
Msanii wa Muziki wa Singeli akitumbuiza katika Onyesho moja wapo
Msanii wa Muziki wa Singeli akitumbuiza katika Onyesho moja wapo Picha/S.Kide

Muziki wa Singeli ni Miongoni mwa Muziki unaochipukia nchini Tanzania,vijana wanajaribu kuifikia hadhira kwa kutumia maudhui ya Asili.Katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa,Ungana na Steven Mumbi akizungumzia Muziki huo akiwa na S.Kide pamoja na Kiongozi wa Wakupeti Band.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.