Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Mpango wa kufunga kambi ya Daadab: Zipi haki za wakimbizi wanaoishi kwenye kambi

Sauti 10:09
Kambi ya wakimbizi ya Daadab kaskazini mwa nchi ya Kenya, inayohifadhi wakimbizi wa Somalia
Kambi ya wakimbizi ya Daadab kaskazini mwa nchi ya Kenya, inayohifadhi wakimbizi wa Somalia UNHCR - kenya

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia mpango wa Serikali ya Kenya kutaka kuifunga kambi kubwa ya wakimbizi duniani ya Daadab, je hatua hii watetezi wa haki za binadamu wanaitazamaje? Makala ya juma hili inatathmini hatua ya Kenya kwa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.