Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Monalisa;Kazi za Sanaa za Wanawake hazijanadiwa vya kutosha

Sauti 20:05
Waigizaji wa Filamu Yvon Cherry akiwa na Mama yake Suzan Lewis Maarufu Natasha
Waigizaji wa Filamu Yvon Cherry akiwa na Mama yake Suzan Lewis Maarufu Natasha Yvon Cherry/Muigizaji wa Filamu Tanzania

Makala ya Nyumba ya Sanaa inaangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanawake Waigizaji kiasi cha kuwalazimisha kugeukia kazi nyingine ili kujipatia kipato.Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Wasanii mbalimbali nchini Tanzania.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.