Pata taarifa kuu
Siha Njema

Fistula Tishio kwa Wajawazito wanaochelewa kufika Hospitali wakati wa Uchungu

Sauti 10:06
Baadhi ya akina mama wenye matatizo ya Fistula
Baadhi ya akina mama wenye matatizo ya Fistula Ebby Shaaban, RFI

Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya wasichana na wanawake milioni 4 ulimwenguni wanaishi na tatizo la Fistula huku wanawake kati ya  50,000 na 100,000 wakipata tatizo hili kila mwaka.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Siha Njema kuangazia Ugonjwa huo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.