Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania

Sauti 20:01
Wanawake wa Kidatoga
Wanawake wa Kidatoga Picha/Chifu Longu

Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na kikundi cha WADACA kutoka Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.