Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

Sauti 20:07
Bi.Harusi akiwa amepambwa tayari kwa Shughuli ya Harusi.
Bi.Harusi akiwa amepambwa tayari kwa Shughuli ya Harusi. Picha;Nyota ya Warembo

Sanaa ya Urembo ni Sanaa nyingine inayokuwa kwa kasi miongoni mwa Vijana, Wasichana wanatumia fursa ya kuwaremba si Maharusi tu hivi sasa hata watu wa kawaida wanapenda kurembwa katika sura zao ili kuonekana warembo na Watanashati katika shughuli zao za Kawaida.Makala haya yameangazia Sanaa hii, Steven Mumbi amezungumza na Hilda Koshuma, Mwalimu na Msanii anayefanya Sanaa hii

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.