Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Serikali ya Kenya yawahakikishia ulinzi madhubuti wananchi wake huku Israeli ikiendamwa na mzimwi wa mpango wa nyuklia wa Iran

Sauti 19:36
Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta amewahakikishia usalama wa kudumu wananchi wa Taifa hilo licha ya kufanyika shambulizi la kigaidi la Westgate
Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta amewahakikishia usalama wa kudumu wananchi wa Taifa hilo licha ya kufanyika shambulizi la kigaidi la Westgate REUTERS/Stringer

Wananchi wa Kenya wameendelea kusalia na maswali mengi yaliyokosa majibu juu ya watu waliopanga na kutekeleza mkasa wa shambulizi la kigaidi kwenye Jumba la Biashara la Westgate iwapo watu hao wapo hai au wameuawa, Hofu yatanda Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC baada ya familia mia mbili zinazohofiwa ni raia wa Rwanda kuingia na kupatiwa hifadhi kwenye ngome za Kundi la Waasi la M23 na Israeli inaendelea kuteswa na mpango wa nyuklia wa Iran wakiutuhumu unalengo la kutengeneza silaha za maangamizi na ni hatari kwa usalama wa Eneo la Mashariki ya Kati!!

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.