Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waasi wa M23 wafurushwa DRC, Marekani kuandamwa na kashfa ya kupeleleza kisiri mataifa jirani na marafiki zake

Sauti 20:37
Baadhi ya ujumbe wa mazungumzo ya Kampala wakiondoka kwenye eneo la tukio baada ya kushindikana kutiwa saini mkataba wa amani
Baadhi ya ujumbe wa mazungumzo ya Kampala wakiondoka kwenye eneo la tukio baada ya kushindikana kutiwa saini mkataba wa amani Reuters

Makala ya mtazamo wako jum ahili inajikita kuangaia ushindi walioupata wanajeshi wa FRDC katika mapambano dhidi ya makundi ya waasi mashariki mwa DRC hususan waasi wa M23. Pia Marekani imeendelea kuandamwa na jinamizi la tuhuma za ujasusi ambapo mataifa ya Ujerumani, Uhispania, Mexico ni miongoni mwa mataifa yaliyohitaji maelezo kutoka kwa Marekani baada ya taarifa kubaini kuwa Marekani imefanya uchunguzi kwa mataifa hayo kisiri.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.