Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waasi wa M23 wasitisha uasi na kujisalimisha, Tanzania yasisitiza kuwa haitajitoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kuuawa kwa Wanahabari wawili wa RFI nchini Mali

Sauti 20:49
REUTERS/Kenny Katombe

Katika makala ya Mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii utasikia kuhusu hatua ya wapiganaji wakundi la M23 Mashariki mwa DRCongo kutangaza rasmi kusitisha uasi wao na kujisalimisha huku kamanda wa kijeshi Sulatani Makenga akijisalimisha kwa jeshi la Uganda UDF, pia utasikia kauli ya Tanzania kuhusiana na msimamo wake wa kuendelea kusimamia mkatanba wa jumuiya ya Afrika Mashariki na pia tutaangazia taarifa kuhusiana na mauaji ya Wanahabari wawili wa Ufaransa nchini Mali.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.