Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa matukio ya michezo yaliyojiri juma nzima barani Afrika

Sauti 20:30
cafonline.com

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunaangazia hatua  ya Shirikisho la soka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuachana na harakati za kutaka kuwa wenyeji wa michuano ya soka baina ya mataifa ya Afrika mwaka 2019, lakini pia tunachambua  hatua ya Shirikisho la  soka barani Afrika CAF, kumfungia kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Adel Amrouche miezi 12 kwa kumtemea  mate afisaa wa CAF mwezi Juni  nchini Comoros.Ungana na Victor Abuso, Emmanuel Makundi, Collins Libert Adede na Kahozi Kosha kupata uchambuzi wa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.