Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Matukio makubwa viwanjani mwaka 2016

Sauti 20:21

Heri ya Mwaka mpya wa 2016. Makala yetu ya kwanza ya Jukwaa la Michezo tunaangazia baadhi ya matukio makubwa yatakayotokea viwanjani  kote duniani mwaka huu wa 2016.Matukio hayo ni pamoja na uchaguzi wa rais mpya wa Shirikisho la soka duniani FIFA na Michezo ya Olimpiki nchini Brazil.Mchambuzi wetu ni Lucien Kahozi Koshia akiwa mjini Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.