Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Rwanda na Sudan wanaweza kufika fainali ya CHAN 2018

Sauti 23:37
Mauritania na Guinea katika mchuano muhimu wa CHAN hivi karubuni
Mauritania na Guinea katika mchuano muhimu wa CHAN hivi karubuni www.cafonline.com

Michuano ya CHAN inaendelea nchini Morocco, Uganda Cranes tayari imeshaondolewa katika michuano hiyo lakini nafasi bado ipo kwa Rwanda na Sudan. Je, mataifa haya yanaweza kufanikiwa ? Tunajadili hili na mengine mengi yanayotokea viwanjani Jumapili hii barani Afrika na kwingineko duniani.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.