Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Shirikisho la soka Misri lasema Mohammed Salah atashiriki fainali za Kombe la Dunia

Sauti 20:48
Mshambuliaji wa Misri, Mohammed Salah akitoka uwanjani baada ya kuumia katika fainali ya Ulaya dhidi ya Real Madrid
Mshambuliaji wa Misri, Mohammed Salah akitoka uwanjani baada ya kuumia katika fainali ya Ulaya dhidi ya Real Madrid REUTERS/Phil Noble

Katika makala ya Jukwaa la Michezo Jumapili ya Mei 27 Fredrick Nwaka alingana na w achambuzi wa michezo Aloyce Mchunga na Ally Saleh Alberto kuangazia kuhusu hatima ya mshambuliaji Mohammed Salah kucheza fainali za kombe la dunia baada ya kuumia wakati akiitumikia klabu yake ya Liverpool, pia hatua ya Liberia kusema haitaiunga mkono Morocco katika harakati za kuwania kuandaa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 na nchini Afrika Kusini Danny Jordan achaguliwa tena kuwa rais  wa chama cha Soka licha ya kukabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono. 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.