Pata taarifa kuu
CHELSEA-SOKA-UINGEREZA

Chelsea yamtangaza Sarri kuwa meneja wake mpya

Kocha Mpya wa Chelsea Maurizio Sarri
Kocha Mpya wa Chelsea Maurizio Sarri www.mirror.co.uk

Klabu ya Chelsea ya Uingereza imemtangaza muitaliano Maurizio Sarri kuwa meneja mpya kwa mkataba wa miaka mitatu.

Matangazo ya kibiashara

Sarri aliyeiwezesha Napoli kumaliza katika nafasi ya pili msimu uliopita amesaini mkataba wa miaka mitatu, anachukua nafasi ya Antonio Conte aliyefutwa kazi baada ya kuhudumu kwa misimu miwili.

Makocha wengine kutoka Italia waliowahi kuinoa Italia ni Roberto Di Matteo, Carlo Ancelloti na Claudio Ranieri.

Wakati huohuo, Chelsea imemsajili Jorginho, kiungo mbrazil wa Napoli kwa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Euro milioni 50

 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.