Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika

Sauti 23:42
Mabingwa wa zamani wa taji la klabu bingwa Afrika Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini wakicheza na Al Ahly ya Misri katika moja ya michuano iliyopita
Mabingwa wa zamani wa taji la klabu bingwa Afrika Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini wakicheza na Al Ahly ya Misri katika moja ya michuano iliyopita MOHAMED EL-SHAHED / AFP

Michuano ya hatua ya makundi kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika, imeanza tena . Gor Mahia na AFC Leopards zinacheza katika mechi muhimu ya ligi kuu nchini Kenya, maarufu kama Mashemeji Derby. Tunajadili haya na mengine mengi katika Jukwaa la Michezo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.