Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Cecafa na harakati za kuinua soka la wanawake Afrika Mashariki na Kati

Sauti 22:40
Timu ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens iliyoshinda taji la Cecafa hivi karibuni
Timu ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens iliyoshinda taji la Cecafa hivi karibuni www.cafonline.com

Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) na harakati za kuinua soka la wanawake baada ya kutamatika kwa michuano ya Cecafa kwa wanawake nchini Rwanda. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samuel John na Aloyce Mchunga kutathimini.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.