Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Simba SC na Gor Mahia zachanua michuano ya klabu barani Afrika

Sauti 20:49
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Claotus Chama akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya AS Vita ya DRC, Tarehe 16 Machi 2019
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Claotus Chama akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya AS Vita ya DRC, Tarehe 16 Machi 2019 Twitter/SimbaSCTanzania

Hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Afrika na ile ya taji la shirikisho imekamilika kwa klabu za Simba ya tanzania na Gor Mahia ya Kenya kufuzu hatua ya robo fainali. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa kandanda Bonface Osanokutoka Kisumu nchini Kenya na Juma Mudimi kutoka Tabora nchini Tanzania kutathimini kwa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.