Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tanzania na DRC zaungana na Uganda, Burundi na Kenya kucheza fainali za mataifa ya Afrika

Sauti 23:40
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefuzu kucheza fainali baada ya miaka 39.
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefuzu kucheza fainali baada ya miaka 39. TwitterTFF

Mechi za mkondo wa mwisho za kuwania kufuzu fainali za Afrika zimefikia tamati kwa mataifa ya Tanzania na DRC kuungana na Burundim Kenya na Uganda kushiriki fainali zitakazochezwa mwezi Juni nchini Misri. Fredrick nwaka na Victor Abuso wameungana na wachambuzi Juma Mudimi na Bonface Osano kukuletea kwa kina yanayojiri.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.