Pata taarifa kuu
KIKAPU-TANZANIA-AFRIKA

Timu ya Taifa ya kikapu ya Tanzania kutajwa leo, kushiriki mechi za mchujo wa kanda ya tano Afrika

Uwanja wa ndani wa taifa uliopo jijini Dar es Salaam umekuwa ukitumika kwa mashindano mbalimbali ya mpira wa kikapu
Uwanja wa ndani wa taifa uliopo jijini Dar es Salaam umekuwa ukitumika kwa mashindano mbalimbali ya mpira wa kikapu RFI Kiswahili/Fredrick Nwaka

Timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa kikapu itakayowacheza mechi za mchujo za kanda ya tano ya Afrika.

Matangazo ya kibiashara

Mashindano hayo ya kanda ya tanoyanaanza Juni 26 hadi Julai mosi jijini Kampala nchini Uganda.

Timu hiyo itatangazwa leo saa tisa alasiri katika uwanja wa ndani wa taifa na hapohapo kuagwa kwa kukabidhiwa bendera ya taifa.

Rais wa shirikisho la riadha Tanzania, TBF Fares Magesa ametoa wito kwa watanzania na wadau wa mchezo huo kuichangia tyimu hiyo ili kufanikisha ushiriki katika mashindano hayo.

"Nambari ya kuchangia ni 0715 969567 au kwa kutumia akounti namba 01J1013868800 katika benki ya CRDB,"

 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.