Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Maendeleo ya soka la vijana eneo la Afrika Mashariki

Sauti 23:18
Wachezaji wa timu ya soka ya Uganda wenye chini ya umri wa miaka 15 baada ya kushinda taji la vijana lililoandaliwa jijini Asmara nchini Eritrea
Wachezaji wa timu ya soka ya Uganda wenye chini ya umri wa miaka 15 baada ya kushinda taji la vijana lililoandaliwa jijini Asmara nchini Eritrea www.fufa.co.ug

Timu ya taifa ya soka ya Uganda yenye wachezaji wenye umri chini ya miaka 15, wameibuka mabingwa wa taji la Afrika Mashariki na Kati baada ya kuilaza Kenya mabao 4-0 jijini Asmara nchini Eritrea.Haya yalikuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA. Tunajadili mafanikio ya mashindano haya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.