Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Taifa Stars yaishinda Burundi na kufuzu hatua ya makundi, kuelekea kombe la dunia 2022

Sauti 23:05
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akikabiliana na mchezaji wa Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia uliochezwa Septemba 8, 2019
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akikabiliana na mchezaji wa Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia uliochezwa Septemba 8, 2019 Mwanaspoti

Timu ya Taifa ya Tanzania imeshinda Burundi kwa penati 3-0 na kufuzu hatua ya makundi katika mchakato wa kusaka timu tano za Afrika zitakazoshiriki fainali za kombe la dunia za mwaka 2022 nchini Qatar. Fredrick Nwaka ameunga na wachambuzi wa kandanda Bonface Osano na Samwel John kutathimini kwa kina

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.