Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Historia ya kituo cha michezo cha Alliance kilichopo Mwanza, kaskazini magharibi mwa Tanzania

Sauti 24:10
Yusuph Budodi, Mwenyekiti wa kamati ya mashindano katika kituo cha michezo Alliance akizungumza na RFI Kiswahili 19 Septemba 2019
Yusuph Budodi, Mwenyekiti wa kamati ya mashindano katika kituo cha michezo Alliance akizungumza na RFI Kiswahili 19 Septemba 2019 RFI/Fredrick Nwaka

Makala ya Jukwaa la Michezo Jumapili ya Septemba 22, 2019 imeangazia historia, mafaniko na changamoto ambazo kituo hicho kinakabiliana nazo. Ungana na fredrick Nwaka akizungumza na Yusuph Budodi mwenyekiti wa kamati ya mashindano kituoni hapo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.