Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Gor Mahia, Yanga na KCCA zaondolewa klabu bingwa Afrika

Sauti 22:12
Wachezaji wa Zesco United wakishangilia baada ya kuishinda Yanga klatika mchuano wa klabu bingwa Afrika uliochezwa Septemba 28 katika Uwanja wa Levy Mwanawasa Mjini Ndola nchini Zambia
Wachezaji wa Zesco United wakishangilia baada ya kuishinda Yanga klatika mchuano wa klabu bingwa Afrika uliochezwa Septemba 28 katika Uwanja wa Levy Mwanawasa Mjini Ndola nchini Zambia Zesco United/Instagram

Michuano ya klabu bingwa Afrika imeendelea mwishoni mwa juma huku Gor Mahia, Yanga na KCCA zikiondolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika na mashindano ya riadha ya Doha Marathon yakumbwa na changamoto ya joto kali. Tunajadali haya katika jukwaa la michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa michezo Aloyce Mchunga na Bonface Osano

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.