Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tanzania Bara yanyakua taji la michuano ya vijana ya Cecafa nchini Uganda

Sauti 23:50
Wachezaji wa timu ya vijana ya Tanzania Bara 'Ngorongoro Heroes' wakishangilia baada ya kukabidhiwa ubingwa wa Cecafa kwa vijana chini ya miaka 20, 5 Oktoba 2019
Wachezaji wa timu ya vijana ya Tanzania Bara 'Ngorongoro Heroes' wakishangilia baada ya kukabidhiwa ubingwa wa Cecafa kwa vijana chini ya miaka 20, 5 Oktoba 2019 Daily Nation

Michuano ya Cecafa kwa vijana chini ya miaka 20 imetamatika nchini Uganda kwa tanzania Bara kushinda ubingwa huo kwa kuitandika Kenya bao 1-0. Hata hivyo mashindano hayo yamegubikwa na madai ya udanganyifu wa umri wa wachezaji na vilevile ushiriki hafifu wa baadhi ya nchi. Nini hatima ya soka la vijana baada ya mashindano haya? Fredrick Nwaka ameungana na mchambuzi wa soka Samwel John na Naibu rais wa shirikisho la kandanda nchini Kenya FKF Doris Petra kutathimini kwa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.