Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tanzania, Uganda na Rwanda yafuzu fainali ya CHAN 2020

Sauti 24:00
Timu ya taifa ya Uganda ikicheza na Burundi katika mechi muhimu ya CHAN 2019
Timu ya taifa ya Uganda ikicheza na Burundi katika mechi muhimu ya CHAN 2019 @OfficialFUFA

Mataifa ya Tanzania, Uganda na Rwanda yamefuzu katika fainali ya CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka barani Afrika mwaka 2020. DRC nayo pia imefuzu. Michuano hiyo itafanyika nchini Cameroon. Tunajadili michuano hii na maandalizi ya mataifa ya Afrika Mashariki.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.