Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Fifa yakabiliwa na shutuma kwa kuipa China uandalizi wa klabu bingwa ya dunia

Sauti 21:56
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa, Gian Infantino
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa, Gian Infantino www.fifa.com

Shirikisho la kandanda duniani Fifa linakabiliwa na shutuma kali kwa kuipatia China uandalizi wa mashindano ya klabu bingwa ya dunia 2021 na michuano ya kombe la shirikisho yaendelea, Yanga na Gor Mahia zachechemea. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Anangisye Msokwa kukuletea makala haya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.