Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Klabu za Afrika Mashariki na Kati zashindwa kuwika katika michuano ya Shirkisho barani Afrika

Sauti 23:26
Klabu ya Gor Mahia ikiwa inafanya mazoezi kabla ya kumenyana na DC Motema Pembe jijini Kinshasa Novemba 1 2019
Klabu ya Gor Mahia ikiwa inafanya mazoezi kabla ya kumenyana na DC Motema Pembe jijini Kinshasa Novemba 1 2019 OfficialGMFC

Klabu za  soka kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, zipo mbioni katika michuano ya mzunguko wa mwisho, kufuzu katika hatua ya makundi, kuwania taji la Shirikisho barani Afrika, lakini pia tunaangazia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama cha Riadha nchini Tanzania  Wilhelm  Gidabuday.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.