Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kwanini hamasa ya mchezo wa wapinzani wa jadi nchini Kenya umepungua?

Sauti 24:09
Mlinzi wa Gor Mahia Joash Onyango akikabiliana na mshambuliaji wa AFC Leopards Hansel Ochieng katika mchezo baina ya timu hizo uliochezwa 10 Novemba 2019 katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi
Mlinzi wa Gor Mahia Joash Onyango akikabiliana na mshambuliaji wa AFC Leopards Hansel Ochieng katika mchezo baina ya timu hizo uliochezwa 10 Novemba 2019 katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi Daily Nation

Gor Mahia imeishinda AFC Leopards kwa mabao 4-1 katika mchezo wa upande mmoja wa wapinzani wa jadi nchini Kenya. Hata hivyo msisimko wa soka nchini Kenya umepungua miaka ya karibuni kutokana na kukosekana kwa hamasa ya mchezo baina ya wapinzani wa jadi.Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa soka Bonface Osano na Aloyce mchunga kutathimini kwa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.